RIWAYA (NOVEL) SIKU YA KWANZA KABURINI SASA IPO MADUKANI
Riwaya ya Simulizi ya Kugofya na kusisimua mwili "SIKU YA KWANZA KABURINI" sasa Imetoka na inapatikana Maduka yote ya Vitabu kwa Mawasiliano wasiliana na Mwandishi Daudi Mwidima kwa namba hizi kupata Nakala yako - 0656 337439 au 0754 542642
Mtindo Uliotumika unasisimua usomaji visa na matukio ni vya Kugofya
ReplyDelete