KAMPUNI YA YONO YAUZA JUMBA LA LUGUMI
Jumba hilo ni sehemu ya nyumba nyingine mbili za Lugumi , zinazopigwa mnada zinazopatikana Mbweni JKT wilaya ya KINONDONI, Jijini Dar es salaam ambazo bado hazijapata wanunuzi hadi sasa ambazo thamani yake ni Tshiling milioni 460 kwa kila nyumba moja, bei ambayo imeelezwa ni kubwa tofauti kabisa na ukubwa wa nyumba hizo.
Uamuzi huo umekuja baada ya kampuni ya Lugumi enterprises kushindwa kulipa kodi na ubadhilifu mwingi uliofanywa na Lugumi, sehemu ya fedha hizo zitatumika kulipia kodi TRA.
Comments
Post a Comment