Rais Magufuli - SITATOA HUKUMU YA KIFO KWA WAFUNGWA
Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli, katika hotuba yake ya kumuapisha Jaji mkuu Mpya wa Mahakama za Tanzania, Prof Ibrahim Khamis Juma, sherehe iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais Magufuli, alisisitiza kua hatoweza kusaini orodha hiyo ya kifo kwa wafungwa walio hukumiwa kunyongwa, alisema "nafahamu wapo wafungwa wengi huko magerezani, sisi wanasiasa tu naogopa sana kutoa hukumu hii ya kunyonga"
Pia katika hotuba yake alisema kuchelewa kumteua Jaji mkuu wa Mahakama, ni kuhakikisha anateua mtu makini atakaeweza kupambana na Rushwa katika kasi anayoitaka.
Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Khamis Juma amekua Jaji wa 7 toka Tanzania ipate uhuru mwaka 1961

Comments
Post a Comment